Natafuta hizi sarafu wakuu

kuna watu waanaendaga kushoto naona ni kutafuta haya mahela ya zamani...wakienda huko wanazima na simu zao hadi wakirudi sijui wanafanyaga nini na hizi hela. duh walimwengu mna mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…