ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,384 Nov 12, 2016 #1 nawasalimu wa wakuu!!!! kwa anae uza dry za mkono na za kawaida zile za saloon ya kike.. naomba mnitajie bei zenu ikiwezekana na pc kabisaa nashida nazo. ikumbukwe pesa yangu ni fupi na kifaa kiwe na bei fupi. asanteni.
nawasalimu wa wakuu!!!! kwa anae uza dry za mkono na za kawaida zile za saloon ya kike.. naomba mnitajie bei zenu ikiwezekana na pc kabisaa nashida nazo. ikumbukwe pesa yangu ni fupi na kifaa kiwe na bei fupi. asanteni.
The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,582 Reaction score 7,249 Nov 12, 2016 #2 Dry ndio nini mkuu?
cosM Senior Member Joined Sep 6, 2013 Posts 194 Reaction score 124 Nov 12, 2016 #3 The Transporter said: Dry ndio nini mkuu? Click to expand... May be hand dryer
wigo JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 914 Reaction score 506 Nov 12, 2016 #4 Me too said: nawasalimu wa wakuu!!!! kwa anae uza dry za mkono na za kawaida zile za saloon ya kike.. naomba mnitajie bei zenu ikiwezekana na pc kabisaa nashida nazo. ikumbukwe pesa yangu ni fupi na kifaa kiwe na bei fupi. asanteni. Click to expand... Ninayo za Italy na South Africa, brand new kitu ndani Ya box. Napatikana 0767102102 au 0655308308 Attachments 1478972705581.jpg 36.5 KB · Views: 16 1478972735131.jpg 42.3 KB · Views: 15
Me too said: nawasalimu wa wakuu!!!! kwa anae uza dry za mkono na za kawaida zile za saloon ya kike.. naomba mnitajie bei zenu ikiwezekana na pc kabisaa nashida nazo. ikumbukwe pesa yangu ni fupi na kifaa kiwe na bei fupi. asanteni. Click to expand... Ninayo za Italy na South Africa, brand new kitu ndani Ya box. Napatikana 0767102102 au 0655308308
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,384 Nov 12, 2016 Thread starter #5 The Transporter said: Dry ndio nini mkuu? Click to expand... km nimekosea rekebisha tu. nazungumzia zile za kujaushia nywele.
The Transporter said: Dry ndio nini mkuu? Click to expand... km nimekosea rekebisha tu. nazungumzia zile za kujaushia nywele.
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,384 Nov 12, 2016 Thread starter #6 wigo said: Ninayo za Italy na South Africa, brand new kitu ndani Ya box. Napatikana 0767102102 au 0655308308 Click to expand... poa
wigo said: Ninayo za Italy na South Africa, brand new kitu ndani Ya box. Napatikana 0767102102 au 0655308308 Click to expand... poa