Natafuta harrier old model 2az engine

Natafuta harrier old model 2az engine

babuukikolo

Senior Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
146
Reaction score
166
Natanguliza salam zangu kwako ww ndugu msomaji
Natafuta harrier old model 2az engine.
Nipo mwz na ninataka kuanzia namba dh...
 
Sawa mkuu usafiri muhimu ngoja waje
 
Natanguliza salam zangu kwako ww ndugu msomaji
Natafuta harrier old model 2az engine.
Nipo mwz na ninataka kuanzia namba dh...
Usipende gari kwa kuangalia namba. Angalau hata ungetumia kigezo cha KM. .
 
Kama unayo sema mkuu mi ila vigezo natoa mie mtoa hela
Nimekuelewa mdau. Mimi ninalo japo sipo tayari kuliuza kwa sasa. Ina namba D lakini ina soma KM 139000. Nimenunua hapa TZ akiwa na namba ambazo si stahili kwa nazo. Nimebadilisha sasa ni DKN. . Bilashaka wewe ni mtalaam wa magari ndo maana huna shaka na hilo. Lakini ni faida kwa wengine.
 
Nimekuelewa mdau. Mimi ninalo japo sipo tayari kuliuza kwa sasa. Ina namba D lakini ina soma KM 139000. Nimenunua hapa TZ akiwa na namba ambazo si stahili kwa nazo. Nimebadilisha sasa ni DNK. . Bilashaka wewe ni mtalaam wa magari ndo maana huna shaka na hilo. Lakini ni faida kwa wengine.
Aisee, tumeshafika kwenye namba "DN" kumbe.?!

Sio bado tupo kwenye "Dk" ?!
 
Nimekuelewa mdau. Mimi ninalo japo sipo tayari kuliuza kwa sasa. Ina namba D lakini ina soma KM 139000. Nimenunua hapa TZ akiwa na namba ambazo si stahili kwa nazo. Nimebadilisha sasa ni DKN. . Bilashaka wewe ni mtalaam wa magari ndo maana huna shaka na hilo. Lakini ni faida kwa wengine.
139,000 sio tatizo mkuu ilimradi matunzo tu.hizo namba ambazo hukustahili ni za aje?
DKN ipo vizuri. Najua zipo namba A ambazo zimesimama kuliko D ila mie napenda nikitaka kuuza basi nisiuze bei ya chini sana.ina maana sahv nina DJQ so after 1 or 2 yrs lazima niuze

Sent from my A1601 using JamiiForums mobile app
 
Natanguliza salam zangu kwako ww ndugu msomaji
Natafuta harrier old model 2az engine.
Nipo mwz na ninataka kuanzia namba dh...
Ipo mkuu tuwasiliane 0658212659
80a1b2696fbef8ef92cace7856d0de94.jpg

Sent from my FEVER using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom