Natafuta Girlfriend

PRESIDA TO BE..

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
302
Reaction score
200
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 25, Niko chuo mwaka wa nne sasa ila natafuta girlfriend awe mwaminifu. Awe anaishi hapa hapa Dar es salaam. Pls if uko interested ni PM
 
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 25, Niko chuo mwaka wa nne sasa ila natafuta girlfriend awe mwaminifu. Awe anaishi hapa hapa Dar es salaam. Pls if uko interested ni PM

Tafuta uzi wa Daudi1 una maelezo mazuri jinsi ya kupata gerofulendi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Daudi1 kuna mwingine huku tena yuko chuo anakaribia kumaliza ila anatafuta mchumba kwenye mtandao
 
Last edited by a moderator:
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 25, Niko chuo mwaka wa nne sasa ila natafuta girlfriend awe mwaminifu. Awe anaishi hapa hapa Dar es salaam. Pls if uko interested ni PM
Chuo gani hicho ambacho hakina wanawake? je unajua kuwa unaosoma nao ndo wako humu ndani wengine ndiyo hao unaoishi nao huko mtaani kwanini unawogopa?
 
Mkuu Daudi1 kuna mwingine huku tena yuko chuo anakaribia kumaliza ila anatafuta mchumba kwenye mtandao
Mkuu unajua wanawake wengi siku hizi wanalalamika kupungua kwa nguvu za kiume kwa wapenzi wao yawezekana kiafya tatzo hamna ila kisaikolojia kujiamini kumepungua mno mpaka hata kutongoza imekuwa shida vijana saiz hawataki shida eti mitandao imerahisha yaani wanatamani hata akimkonyeza tu mwanamke akampe mchezo kwa wanawake wanaojiamni na wenye misimamo siyo rahisi kumpata kwa njia hii
 
Mkuu umesema kweli hakuna kitu kinachoitwa kupungua kwa nguvu za kiume nafikiri kuko kisaikolojia zaidi
Sasa kama mtu anashindwa kutongoza wanawake waliomzunguka chuoni huko ambako ni wengi na anaishi nao kila siku kwa miaka minne anakutana nao kwenye mazingira tofauti mpaka muda wa usiku anakaa nae darasani anaenda nao kwenye sehem za starehe na nyumba za ibada wanakutana vyumbani huko na kuazimana madesa kwa miaka yote hiyo bado anashindwa kumuona mmoja ambaye atakuwa wa kwake unategemea nini hapo
Akija kumpata akienda nae room si hata kumuomba game atashindwa na unategemea hata mwanamke akionyesha dalili kuwa sasa niko tayari jamaa kweli anaweza kazi hapo si atakuwa mwoga na kushindwa kuperform sawa sawa matokeo yake ni nini si atajiaminisha hana nguvu za kiume
Si ndio mwanzo wa kusaka dawana uganga
Kumbe tatizo ni yeye mwenyewe wala sio kwamba hana nguvu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…