Pia nkuulze umekosa watu uko kwenu wa kujadiliananao mpaka uje jamiiforums, labda nkuelishe, huu ni mtandao ambao unaoufanya watu wote Dunian kuwa Kama kijiji kmoja, umezaliwa kwenu imekulia kwenu lazma utafte new challenge ndomna ata wew sasaiv uko umu kufany discussion wakat mtaan kwenu Kuna watu weng