Natafuta gari

Natafuta gari

Natafuta gari bajeti mil 3,serious sellers

Nitafute; 0754 754 593! Nina chaser 4S, manual, imelipiwa kila kitu i.e start and go! Mziki mkubwa, matairi safi + spare. Mi nipo Moro gari ipo AR (siwezi kukurushia picha), gari nimeipaki home (AR).
 
nitafute; 0754 754 593! Nina chaser 4s, manual, imelipiwa kila kitu i.e start and go! Mziki mkubwa, matairi safi + spare. Mi nipo moro gari ipo ar (siwezi kukurushia picha), gari nimeipaki home (ar).

here, there is 2m.
 
here, there is 2m.

Mkuu hauipungui, chini ya 3M, na hii bei ni kwa sababu naona gari litaharibika ikikaa bila kuendeshwa mda mrefu kwani mimi nimehamia kikazi Moro permanently!
 
poa nikipata yakuongeza nitakwambia.
 
Ipo Suzuki alto cc 660 mafuta inanusa, nataka milion 3.5 tu, injini haijaguswa kabisa na gari haina tatizo lolote njoo na fundi wako uikague.

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Ipo Balloon GX 90 haina tatizo lolote ipo Dodoma call me on 0754 654410 to make business. Vibali vyote vipo safi na leo ilikwenda Iringa na kurudi.
 
Ipo Suzuki alto cc 660 mafuta inanusa, nataka milion 3.5 tu, injini haijaguswa kabisa na gari haina tatizo lolote njoo na fundi wako uikague.

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app

upo wapi nitafute kwa namba hii
0714620133
 
Ipo Suzuki alto cc 660 mafuta inanusa, nataka milion 3.5 tu, injini haijaguswa kabisa na gari haina tatizo lolote njoo na fundi wako uikague.

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
Nitafute kesho 0785853297
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom