Natafuta gari yenye thamani ya 5-7m

Natafuta gari yenye thamani ya 5-7m

chambimagaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
288
Reaction score
338
Nipo Mwanza natafuta economy car! Kwa MTU mwenye kuweza kusaidia, anichek plz

Iwe kwenye condition nzuri
Iwe na radio +ac
Isiwe na michubuko na isiwe record za ajali!

Karibuni!
 
Nipo Mwanza natafuta economy car! Kwa MTU mwenye kuweza kusaidia, anichek plz

Iwe kwenye condition nzuri
Iwe na radio +ac
Isiwe na michubuko na isiwe record za ajali!

Karibuni!
Nipo geita ninalo zuri sana. Ila bei utaongeza kidogo. Karibu. NB. hakuna Dalali mi ndo mmiliki.
 
Nipo Mwanza natafuta economy car! Kwa MTU mwenye kuweza kusaidia, anichek plz

Iwe kwenye condition nzuri
Iwe na radio +ac
Isiwe na michubuko na isiwe record za ajali!

Karibuni!

Habar yako! Kama bado hujapata chek na Mimi 0674010013 Nina noah no. D
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom