Natafuta gari ya mkataba (Taxify & Uber)

Natafuta gari ya mkataba (Taxify & Uber)

Joined
Dec 21, 2013
Posts
97
Reaction score
59
Habari zenu wakuu mimi ni dereva mzoefu, mkazi wa Dar Es Salaam, nahitaji gari kwaajili ya mkataba kwa ajiri ya usafirishaji abiria kwa Uber na Taxify.
 
Habari zenu wakuu mimi ni dereva mzoefu, mkazi wa Dar Es Salaam, nahitaji gari kwaajili ya mkataba kwa ajiri ya usafirishaji abiria kwa Uber na Taxify.
Mwenye utayari tuwasiliane kwa namba 0692803133 au email address samsonelishajr@gmail.com tupeane vigezo na masharti. Nahitaji gari ya isiyozidi CC 1390. Nawasilisha hoja.

Hesabu ni sh ngapi kwa wiki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom