UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,019
natafuta gari ya kutembelea isiyozidi m6 na isiwe vitz au passo
je kuna tofauti gani ya gharama ya kuagiza gari used japani na kununua hapa Tanzania na je nasikia kuna tofauti ya riba kati ya watumishi wa serikalini na sisi wafanyabiashara je kuna ukweli wa hiloo