husika na kichwa cha habari nina kama milioni tatu keshi hapa 3,000,000/= nahitaji usafiri wa kupigia misele hapa mjini mwenye nalo aje dm tuyajenge...location Dar
husika na kichwa cha habari nina kama milioni tatu keshi hapa 3,000,000/= nahitaji usafiri wa kupigia misele hapa mjini mwenye nalo aje dm tuyajenge...location Dar
Nenda jukwaa la matangazo kuna madali wa kutosha kule wanauza magari. Hiyo mil. 3 ni pesa nyingi sana. Huwezi kukosa corolla, suzuki kei, vits au passo.
Ukikosa kabisa, chukua tu hata boxer halafu chenji inayobaki, kaweke heshima bar. Maisha yenyewe mafupi haya. Raha jipe mwenyewe.
Gari utapata but within miez sita ya kuitumia hiyo gari itakuwa imetimia hela yako kwenye matengenezo zaid ya hiyo 3m
Na bado itaendelea kukula mpk utakapochoka na we uiuze 2.5 kwa hasara
Usisahau wakat unaiuza kwa hasara 2.5 itakuwa imekula ile 3 uliyonunulia na zaid ya 3m nyingine kwa matengenezo