Natafuta gari ya kununua

Habari wakuu,

Natafuta gari yakununua bajeti yangu sh ml. 5 mwenye kuuza gari yake anicheki pm, alteza, brevis zitapendeza zaidi, Namba Kati ya C,D itapendeza zaidi.

Asanten.
View attachment 1657659
Ninafanya ukaguzi wa magari yaliyotumika, ninatumia mbinu za jadi na tuugangauganga kidogo tu ila matokeo makubwa
 
Kwa aina ya hizo gari hata bajeti yako ikiwa mil 4 utapata tu nzuri, ila hakikisha unamchukua fundi unayemjua na anayejua sana magari.
Brevis zina matatizo sana, hivyohivyo kwa altezza, zote hizo zina magonjwa sugu kwenye engine
Asante sana mkuu ntaliangalia hilo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…