malimi katoro
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 358
- 154
Wakuu nataka kuingia kwenye biashara ya usafirishaji hivyo natamani kuanza na hiace .
Bajeti yangu ni 13M
Hiace iwe katika hali nzuri' iwe ni manual na inayotumia diesel
Bajeti yangu ni 13M
Hiace iwe katika hali nzuri' iwe ni manual na inayotumia diesel