Natafuta gari ya kukodi Arusha

Natafuta gari ya kukodi Arusha

Tanganyika50

Member
Joined
Dec 8, 2011
Posts
97
Reaction score
19
Wadau,
Natafuta gari ya kukodi hapa Arusha.
Ni lazima iwe pick up,double cabin,4WD na iwe kwenye hali nzuri.
Gari hii inahitajika kwa safari za nje ya arusha na wakati mwingine shughuli za ndani ya arusha.Maeneo tarajiwa ya safari ni same,mto wa mbu,magugu,monduli na hanang
Utaratibu na bei ni maelewano.
Unaweza kuwasiliana nami kwa kuni bandikia namba au kuni PM
Wadau karibuni tufanye kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom