jimmy sayo
Member
- Mar 15, 2019
- 22
- 5
UMEPATA KIONGOZI?Habari wakuu na minidereva natafuta gari ya kufanyia biashara ya uber hesabu ni kila wiki na sifa zote na nimesha kamilisha kila kitu wanacho hitaji nicheki kupitia no yangu 0788307679
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina dgo atakucheki kwenye hyo namba udhamini muhimu na upo maeneo gani
Nina dgo atakucheki kwenye hyo namba udhamini muhimu na upo maeneo gani
Nini tena chief?