Natafuta gari ya biashara ya (uber) kwa mkataba.

Natafuta gari ya biashara ya (uber) kwa mkataba.

jimmy sayo

Member
Joined
Mar 15, 2019
Posts
22
Reaction score
5
Habari wakuu nilikuwa natafuta gari kati ya hizi zifuatazo ist, passo, sienta, porte au aina nyengine yenye engine ndogo isiyozidi cc1400> hesabu ni kwa wiki. napatikana tabata nicheki kupitia no yangu 0788307679 kwa taarifa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu nilikuwa natafuta gari kati ya hizi zifuatazo ist, passo, sienta, porte au aina nyengine yenye engine ndogo isiyozidi cc400> hesabu ni kwa wiki. napatikana tabata nicheki kupitia no yangu 0788307679 kwa taarifa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Gari gani cc 400 mzee,gari tajwa zote zinaanzia cc 900...au umechanganya chief....!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom