Natafuta gari Toyota IST 2004+, engine capacity chini ya 1300

Slim Mchuma

Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
83
Reaction score
51
Habari Wakuu

Natafuta gari Toyota IST yenye sifa hapo juu, offer yangu ni kuanzia 7m mpka 8.5m,

Gari iwe katika hali nzuri, rangi silver, Gray, dark na light blue,

Kama mtu anayeuza atakua ndio mmiliki itakua vizuri, asiwe dalali

Mawasiliano p.m
 
Usijipunguzie wigo. Muhimu gari nzuri dalali mnaweza kuyajenga. Wao wenyewe wanajua hali tete.
 
Habari Wakuu

Natafuta gari Toyota IST yenye sifa hapo juu, offer yangu ni kuanzia 7m mpka 8.5m,

Gari iwe katika hali nzuri, rangi silver, Gray, dark na light blue,

Kama mtu anayeuza atakua ndio mmiliki itakua vizuri, asiwe dalali

Mawasiliano p.m
Red?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom