Natafuta gari probox

Natafuta gari probox

msonganzila

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
204
Reaction score
106
Wadau natafuta gari Aina ya PROBOX iwe na Ubora tu siangalii namba bajeti yangu 5,5MILLION mwenye nayo karibu.....
 
Hapana sio eti muundo wake ni mithili ya banda!! Ila sisi wafugaji kuku hii ndio gari yetu. Inapakia vema trei za mayai, pumba, tukitaka kula bata tunaenda car wash tu. Kisha tunafunga viyoo, kisha nawasha unyunyu ,kisha bata kwa kwenda mbele.
 
Mimi pia nimependa nafasi yake kwenye Buti......
Hapana sio eti muundo wake ni mithili ya banda!! Ila sisi wafugaji kuku hii ndio gari yetu. Inapakia vema trei za mayai, pumba, tukitaka kula bata tunaenda car wash tu. Kisha tunafunga viyoo, kisha nawasha unyunyu ,kisha bata kwa kwenda mbele.
 
Gari ya ndoto yangu mkuu, kwanza ina nafasi nzuri ndani pili bodi yake ni ngumu tatu ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom