Wanajamvi.....
Nina dharura kidogo, kwa sasa nahitaji gari kwa ajili ya matumizi yangu binafsi...., hela niliyonayo ni milionn 6-7. Gari ninalohitaji liwe mojawapo kati ya haya:- IST, GX110, PREMIO au BREVIS, na VEROSA
Gari iwe na namba C au D...., iwe kwenye ubora! Vyuma vimekaza jamani, sina zaidi ya hiyo hela.
Nicheki PM, nipo Dar es salaam
Njaa