Kama unaomba ushauri tuu chukua brevisWanajamvi.....
Nina dharura kidogo, kwa sasa nahitaji gari kwa ajili ya matumizi yangu binafsi...., hela niliyonayo ni milionn 6-7. Gari ninalohitaji liwe mojawapo kati ya haya:- IST, GX110, PREMIO au BREVIS, na VEROSA
Gari iwe na namba C au D...., iwe kwenye ubora! Vyuma vimekaza jamani, sina zaidi ya hiyo hela.
Nicheki PM, nipo Dar es salaam
Njaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama unaomba ushauri tuu chukua brevis
Master of the gameWanajamvi.....
Nina dharura kidogo, kwa sasa nahitaji gari kwa ajili ya matumizi yangu binafsi...., hela niliyonayo ni milionn 6-7. Gari ninalohitaji liwe mojawapo kati ya haya:- IST, GX110, PREMIO au BREVIS, na VEROSA
Gari iwe na namba C au D...., iwe kwenye ubora! Vyuma vimekaza jamani, sina zaidi ya hiyo hela.
Nicheki PM, nipo Dar es salaam
Njaa
muonee huruma kijana mwenzakoAsante kwa ushauri mkuu, nipe dondoo basi! Kwa nini brevis?
Brevis ina 1jz au 2jz...hizi ni engine ngumu sana znadumu...average life span 400000kmAsante kwa ushauri mkuu, nipe dondoo basi! Kwa nini brevis?
Mkuu chukua hizo gari zooote ila sio brevis, utaanza kujutia siku ya kwanza tubaada ya kununuaWanajamvi.....
Nina dharura kidogo, kwa sasa nahitaji gari kwa ajili ya matumizi yangu binafsi...., hela niliyonayo ni milionn 6-7. Gari ninalohitaji liwe mojawapo kati ya haya:- IST, GX110, PREMIO au BREVIS, na VEROSA
Gari iwe na namba C au D...., iwe kwenye ubora! Vyuma vimekaza jamani, sina zaidi ya hiyo hela.
Nicheki PM, nipo Dar es salaam
Njaa
Huruma ipi msimezeshane sumu breviz natumia mimi sema kuna watu inawatesa mafuta kwa sababu hawabadilishi oxygen sensor kila km 80,000 ikifika kama ilivyo aindikwa kwenye maintenense manualmuonee huruma kijana mwenzako
Wewe sema ukweli unamiliki sheliHuruma ipi msimezeshane sumu breviz natumia mimi sema kuna watu inawatesa mafuta kwa sababu hawabadilishi oxygen sensor kila km 80,000 ikifika kama ilivyo aindikwa kwenye maintenense manual
Acha utani basi ...brevis hazinywi mafuta..sina sheliWewe sema ukweli unamiliki sheli
Inajitahidi kwenye weseKwani brevis kimeo?
ivi gari impya inasifa gan mkuu, samahan lknKuna Toyota ist nyeusi
Ni kama mpya kabisa
Number DG
Gx110 hutajutia ..Wanajamvi.....