C cacashian01 Member Joined Mar 3, 2016 Posts 76 Reaction score 62 Nov 29, 2018 #1 Habari wadau.mimi ni dereva nahitaji gari yakufanyia kazi ya uber kwa maelewano.
W Wanji Member Joined Jul 28, 2010 Posts 64 Reaction score 4 Nov 29, 2018 #2 cacashian01 said: Habari wadau.mimi ni dereva nahitaji gari yakufanyia kazi ya uber kwa maelewano. Click to expand... Umeshawahi kufanya hiyo kazi? Kwa makubaliano yapi?
cacashian01 said: Habari wadau.mimi ni dereva nahitaji gari yakufanyia kazi ya uber kwa maelewano. Click to expand... Umeshawahi kufanya hiyo kazi? Kwa makubaliano yapi?
C cacashian01 Member Joined Mar 3, 2016 Posts 76 Reaction score 62 Nov 29, 2018 Thread starter #3 Wanji said: Umeshawahi kufanya hiyo kazi? Kwa makubaliano yapi? Click to expand... Kila mtu anakuwa na makubaliano yake,kulingana na chombo anachokabidhi ikiwemo makubaliano ya hesabu.
Wanji said: Umeshawahi kufanya hiyo kazi? Kwa makubaliano yapi? Click to expand... Kila mtu anakuwa na makubaliano yake,kulingana na chombo anachokabidhi ikiwemo makubaliano ya hesabu.