cacashian01
Member
- Mar 3, 2016
- 76
- 62
Habari wadau.mimi ni dereva nahitaji gari yakufanyia kazi ya uber kwa maelewano.
Habari wadau.mimi ni dereva nahitaji gari yakufanyia kazi ya uber kwa maelewano.
Kila mtu anakuwa na makubaliano yake,kulingana na chombo anachokabidhi ikiwemo makubaliano ya hesabu.Umeshawahi kufanya hiyo kazi? Kwa makubaliano yapi?