cacashian01
Member
- Mar 3, 2016
- 76
- 62
Salama wadau nahitaji Gari kwa maelewano ili niwenaleta hesabu.naomba kwa ambaye mwenye Gari ambayo haili mafuta sana tuwasiliane.0689171797
Inategemea aina ya Gari!?cjajua we unagari Gari na IPO kwenye hali gani!?maana inatakiwa iwe na a/c na isiwe chini ya mwaka 2000.na hesabu INA anaanzia elfu 20000,mpaka 30000 kwa sikuHesabu bei gn kwa wiki utaleta
I mean cjajua ww unagari ya aina gani!?Inategemea aina ya Gari!?cjajua we unagari Gari na IPO kwenye hali gani!?maana inatakiwa iwe na a/c na isiwe chini ya mwaka 2000.na hesabu INA anaanzia elfu 20000,mpaka 30000 kwa siku
IPO kwenye hali gani!?Kuna premio
Fanya mchakato wapichaHali nzur na iko full a/c ya kutosha
Ndo gari gani hilo?Ninayo ..ina ac, rangi mpya, matairi etc .... ila ni ya mwaka 1994!
Gari ya mwaka 1994 inakubalika?....make ni Toyota.Ndo gari gani hilo?
Taja ni gari gani? Mbona unakuwa mgumu hivyoGari ya mwaka 1994 inakubalika?....make ni Toyota.
Gari chini ya mwaka 2000 haikubalikiNinayo ..ina ac, rangi mpya, matairi etc .... ila ni ya mwaka 1994!