Mimi ni Civil Technian nimejiajiri hapa mjini, kwa nature ya kazi yangu ninakuwa na mizunguko ya kukagua kazi zangu au kuwa na sites visit. Nahitaji gari dogo la kunisaidia kwenye mizunguko yangu.
Muda ninapokuwa free kwa siku au kutoka site moja kwenda ingine naweza kuifanya uber ndio maana nitapenda gari dogo na kwa mtu tutakubaliana terms za malipo kama za wanazowapa madereva wa uber japo kwa upande wangu atakuwa na uhakika wa malipo.
Mawasiliano DM au 0767248096