M MABAGHEE JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 682 Reaction score 126 Feb 11, 2014 #41 Kitimbwisi said: natafuta gari nzuri ya kutembelea.. aina yoyote kwa bei nafuu.. nipo dodoma.. pm if unayo Click to expand... Ninalo Gari Suzuki escudo Milango Mirambo la 1995 liko katika Hali nzuri. Bei 8m. Hakuna dalali.
Kitimbwisi said: natafuta gari nzuri ya kutembelea.. aina yoyote kwa bei nafuu.. nipo dodoma.. pm if unayo Click to expand... Ninalo Gari Suzuki escudo Milango Mirambo la 1995 liko katika Hali nzuri. Bei 8m. Hakuna dalali.
M MABAGHEE JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 682 Reaction score 126 Feb 11, 2014 #42 Sorry, I meant Milango mitano.
Barca JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 1,629 Reaction score 1,956 Feb 11, 2014 #43 Ninalo aina ya Nadia 2000, black in colour. Automatic transmission. Bei ni 10M. Ipo Songea iko kwenye halibut nzuri
Ninalo aina ya Nadia 2000, black in colour. Automatic transmission. Bei ni 10M. Ipo Songea iko kwenye halibut nzuri
Kimetah JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 1,049 Reaction score 189 Feb 11, 2014 #44 Mwenye Spacio aweke details za gari afu tuongee au ani PM