ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
natafuta gari nzuri ya kutembelea.. Aina yoyote kwa bei nafuu.. Nipo dodoma.. Pm if unayo
elli nichek tuyajenge.. 0718445857
Offer yako inaanzia bei gani? Nikuoneshe sample za magari kwa hiyo bei ya gari uitakayo
kama uko serious na jambo hili
Me nina milioni kumi,lakini nataka RAV 4,kama unayoitundike hapo niitathmini
nina gx 100 so nilikuwa nataka ya aina nyingine..
Mdada tundika ndinga hapa watu tuone, swali kauliza mmoja wanaofaidika ni wenginitakutundikia muda si mrefu ondoa shaka kama uko serious kununua gairi hilo
Mdada tundika ndinga hapa watu tuone, swali kauliza mmoja wanaofaidika ni wengi
Rav 4 kili time 2000, 12M kama utapendanatafuta gari nzuri ya kutembelea.. aina yoyote kwa bei nafuu.. nipo dodoma.. pm if unayo
natafuta gari nzuri ya kutembelea.. aina yoyote kwa bei nafuu.. nipo dodoma.. pm if unayo
natafuta gari nzuri ya kutembelea.. aina yoyote kwa bei nafuu.. nipo dodoma.. pm if unayo
Mkuu kama si gari ya mawazo ni kwakutembelea kama sure fulani basi gari umepata!!pm tuongee bei. ila kama baadae ufanye taxi hii haikufai! Tazama link hii.https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/519169-gari-hii-inauzwa-kwa-muhitaji.htmlnatafuta gari nzuri ya kutembelea.. aina yoyote kwa bei nafuu.. nipo dodoma.. pm if unayo