mkuu fanya 5.5 nikuuzie starlet 1998baada ya kuibiwa gari langu na kutokuwa na matumaini ya kulipata tena, nimerudi kijijini kutafuta mchuma utakao weza kuniliwaza kwa kipindi hiki kigumu kwangu. hivyo basi natafuta gari ndogo aina yeyote iliyo kwenye hali nzuri lakini bei isizidi millioni nne(4000,000)
wandugu nimejipiga hadi nimeamua kuja hapa naamini naamini hakuna kinachokosekana wala kushindikana.
tusameheane kwa wale watakao kwazwa na bei ndogo niliyoitaja lakini nimejikuna pale nime fika!
baada ya kuibiwa gari langu na kutokuwa na matumaini ya kulipata tena, nimerudi kijijini kutafuta mchuma utakao weza kuniliwaza kwa kipindi hiki kigumu kwangu. hivyo basi natafuta gari ndogo aina yeyote iliyo kwenye hali nzuri lakini bei isizidi millioni nne(4000,000)
wandugu nimejipiga hadi nimeamua kuja hapa naamini naamini hakuna kinachokosekana wala kushindikana.
tusameheane kwa wale watakao kwazwa na bei ndogo niliyoitaja lakini nimejikuna pale nime fika!
Sawa mkuu usijali kila la heri ukipata nifahamishe na mimi nikisikia la bei yako nitakufahamisha mkuumkuu nashukuru kwa offer yako lakini sitoweza kuitimiza!
tusameheane kwa wale watakao kwazwa na bei ndogo niliyoitaja lakini nimejikuna pale nime fika!
Mkuu mtafute huyu jamaa mwenye hizi namba:0713260120 aliniuzia gari aina ya Honda CVR, ya 1998, sasa ni mwaka mmoja na zaidi sijapata matatizo nayo, ni mtu mwema kabisa.
mkuu mie naweza kukuletea gari hiyo hapo. toyota raum 1998 or 1997 model. CC1490, around km 60000 - 120,000. kwa bei ya tsha 5,000,000/=
tena uzuri unalipa kwa awamu mbili. unalipa kwanza 3,500,000 kwa ajili ya kununua. kish aunakuja kumalizia 1,500,000/ kwa ajili ya ushuru na registration.
ikizidi hapo kwa sababu ya ushuru ITAKUWA ni JUU YANGU KWA GHARAMA ZANGU.
if you are interested nitumie mail dullymo@gmail.com
au nitwangie 0713 744144