Natafuta Gari kwa ajili ya Uber/taxify

Natafuta Gari kwa ajili ya Uber/taxify

MrJuicey

Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
8
Reaction score
8
Mimi ni Dereva mwenye uzoefu wa mwaka, natafuta gari ya mkataba , Hesabu 175,000 kwa week.

Malipo ni kila jumanne asubuhi...!

Naomba tuwasiliane PM
 
boss nasikia uber wameingia joint venture na crdb kukopesha magar kwa madereva wa uber ungefuatilia ilo kidogo
Mimi ni Dereva mwenye uzoefu wa mwaka, natafuta gari ya mkataba , Hesabu 175,000 kwa week.

Malipo ni kila jumanne asubuhi...!

Naomba tuwasiliane PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom