Natafuta gari Allex au Runx namba D

Kayemba

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
221
Reaction score
175
Habari zenu wadau. Kama kuna mwenye gari anayouza, Allex au Runx namba D (ambayo haijachezewa Mileage) ani pm. Napatikana Dar.

Karibuni.
 
Tra waone kodi zinavyozuia watu kuagiza nje
 
Unanunua gari used TZ ambayo awali ilishatumiwa Japan! Tena gharama yake inakuwa kubwa kuliko bei ya japan! TRA wareview kodi jaman
 
Habari zenu wadau. Kama kuna mwenye gari Allex au Runx namba D (ambayo haijachezewa Mileage) ani pm. Napatikana Dar.

Karibuni.
Mi ninayo,
Unataka ya nini??
Kuazima, kukodi, kununua au kuiona tu mkuu?
 
ngoja nikae pembeni mi hata guta similik, zaid ya miguu kama spok za baskeri, ukipga manati inakatka
 
..mimi nina Subaru Legacy ,..T...DGT...mpyaaa haina tatizo hata la kusingiziwa
....kama unahitaji twende PM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…