Freddy.Freddy
Senior Member
- May 29, 2015
- 105
- 44
Nenda kibo ubungo pale kuna jamaa mmoja shabiki wa yanga anayo unaweza mshawishi akuuzie
Njoo huku gongo la mboto zip nyingiThanks for your advice bro, ntamtafta
Njoo huku gongo la mboto zip nyingi
Nenda kibo ubungo pale kuna jamaa mmoja shabiki wa yanga anayo unaweza mshawishi akuuzie
Vipi washikaji wangu? natafuta gari aina ya Volkwagen Beetle, zile model za 1960s na 1970s!!isizidi milioni mbili na iwe condition nzuri.
Mkuu huyu jamaa unaye namba yake? Please nielekeze Ubungo sehemu gani.
Thanks sana
huyo jamaa wa ubungo ni rafiki yangu najuana
nae vizuri yeye ni fundi magari pale ubungo kabla
hujafika kituo cha kibo ukitokea kkoo upande wa
kulia. anazo kama tano nzima na mbili
anazitengeneza. yeye ni mshabiki wa kutupwa wa
yanga huwa anawakodishia mashabiki wa yanga
wanaoenda nazo mpirani so kama vp nitafute
kwenye 0718151415 nikuunganishe nae