Natafuta gari aina ya vits

Status
Not open for further replies.

Lazarus

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
364
Reaction score
94
Nahitaji gari la kununua aina ya vits. Bei niliyonayo ni mil 2.7 nipo dar kwa mwenye nayo tufanye biashara.
 
magari yamekua bei rahisi hivyo 2.7mil VITS
 
Lipo ila nakushauri anza kuulizia namna ya kupata spare magumashi za kitaa. Pia una kaufundi ka-magari. Kama vp kapige short course veta ndio nitakujulisha mahali utakapopata.sawa mkuu nabii
 
utapata wasikukatishe tamaa..vuta subira kidogo....magari yameshuka thamani sana..first world countries wanaya dump huku kwetu..wao wanatumia treni za umeme ....huku sisi tunakoelekea ni kukaa masaa manne kwenye foleni. tena 2.7 nyingi sana..hata 2m unapata
 

kodi zinapanda wewe unasema magari yanashuka thamani!!..yanashuka thamani kwa wenzetu, siyo sababu ya treni ni sababu ya gharama za kuendesha gari kuukuu, wanaachana nayo na ,kununua mapya kwa financing anakuwa analipa kidogokidogo kila mwezi, ndiyo maana japan vitz tunayoita sisi huku new model kwa wenzeu unauziwa hata laki tisa mpaka milioni mbili, tatizo linakuja kulilipia nauli, na ugonjwa wa moyo unakuja kwenye kodi ndiyo maana unakuta zinauzwa 12m "new model" na 6-8m old model! Vitz ya 2.7m sanasana yeye aangalie iliyogongwa au yenye tatizo kidogo akirekebisha anadundia mtaani mpaka anachoka, ndivyo wajanja wanavyofanya sku hizi mjini ananunua iliyogongwa anairekebisha anauza kwa faida nzuri wananunua hawahawa unaowana wanamcheka mwenzao akanunue bajaji!
 

Mkuu umetoa ya moyoni.. Na umewaambia ukweli.. Gracious..
 

Mheshimiwa Mnyaa kwa kufariji wenzako hujambo.Asante kwa kutuipa moyo.
Mie natafuta Dungu lililogongwa
 
Mheshimiwa Mnyaa kwa kufariji wenzako hujambo.Asante kwa kutuipa moyo.
Mie natafuta Dungu lililogongwa

Hahahaaa, nakuona Mh. Kessy!
Simfariji nampa ujanja wa mjini , juzi kaja mtu anauza harrier 20m hapa wakati mjini wajanja wananunua 8-10M, siyo kwamba hatauza, atauza tu kwa wasiojua! Dungu unalotafuta ni la Caravan au Hiace? na unatafuta la kurepair au la kubreak for parts? kama ni parts unataka kwa ajili ya kukata body? na kama unataka la kukata body unataka front cut au back cut? na kama ni front cut unataka full au body only?
Kwenu Fuoni wamekumiss Mkuu...lol
 

big up!
 
Ipo vitz 3 m fixed price
My no. 0769038065
 

Attachments

  • 1411056011325.jpg
    82.5 KB · Views: 256

Mkuu umenena big up umetufungua macho
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…