Shanty kimaro
Member
- Mar 24, 2014
- 37
- 21
Natafuta passo ya 2005 rangi ya pink mil 5
kwa bajeti yako hata Toyota Corolla AE110 ya mwaka 98 haupati kwa mtu, nini Passo? na kama ukipata jua umenunua umasikini kwa pesa zako na simu yako itajaa namba za mafundi magari mji mzima.
All the best

Hihihiiiiiiiiii!!! usipanic kiongozi. kama umemiliki gari good for you....Vijamaa ambavyo havijawahi kumiliki gari bana. Ndugu shut up you don't know a damn thing about cars
Hihihiiiiiiiiii!!! usipanic kiongozi. kama umemiliki gari good for you....