wakuu natafuta note 2 second hand(isiwe mbovu), nna 350,000
na pia nikipata s3 used kwa 300,000 ntachukua!
nipo Dar, kama kuna anayeuza aniPM
Note: kabla sijainunua nitakuja na mtaalam wangu aichunguze kama ni fake au ni Original, so kama una clone wala hata usijisumbue nayo!