Panga Jipya
Member
- Sep 11, 2019
- 5
- 2
Iwe na kitanda tu, ambayo nitaluhusiwa kulipia mwez mmoja mmoja, isizidi 200k Mahali popote dar ata nje ya mji fresh tu
Kipo hapa Nanjilinji mkuu bei 100k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ww unataka chumba wapi
Mchezo kwenye thread yangu sitaki tafadhali, kama huna pita kimya, labda kama unaniitia huko pengineHuku
Mbona ume edit ungeacha Kama ulivokuwa umeandikaMchezo kwenye thread yangu sitaki tafadhali, kama huna pita kimya, labda kama unaniitia huko pengine