Umewezaje kujua kama tatizo ni system charge?
Unaponzungu swala system chager sio kitu kidogo kama ulivyoelezea hapa, inakubidi uwe umeshafanya vipimo ndio unaweza kungundua hiki ulichokisema sasa sijui wewe umefanya vipimo gani ukaligundua hili tatizo.
Kama haujafanya vipimo vya aina yoyote basi sema ni majaribio gani ambayo umeishaifanyia hiyo simu na kubaini kwamba haipokei chaji? kama utakuwa unahitaji solution,maana sio kila simu inapongoma kupeleka chager basi tatizo ni system!