Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,240
- 1,478
Mkuu kuna jamaa yupo hapa k/koo huwa anatengeneza sana hivyo vitu. anaitwa sule(suleiman) mcheki kwa namba hii kama anaweza kukusaidia;
0719835384. kama atashindwa sema nikutafutie mwingine lakini huyu ndo huwa mbabe wao. Mia
Hako ka printer katupe tu. Katakugharimu muda na matengenezo kuliko kununuwa mpya.
dah, dada yangu ff, printer mpya yenye uwezo wa kuprina karatasi kubwa A3, sio chini ya shillingi laki nane,,, dont u think its worth it kujaribu kuirekebisha??
Kama ni mpya irudishe HP itakuwa ina warranty.
nimeshakaa nayo zaidi ya 3 yearz,, guarantee yake ilishakwisha
Sasa mbona umesema mpya?
hukunielewa ndugu yangu,, i meant printer mpya ndio laki nane, sio kwamba yangu ndio mpya