Natafuta Fundi wa nyumba

Natafuta Fundi wa nyumba

Gerald

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
290
Reaction score
52
Ninaweza kupata mawasiliano ya mafundi wa finishing ya nyumba Kama ifuatavyo :-
1. Gypsum designer
2. Paint designer/skimming
3. Tiles
4. Garden designer
5. House decorater

Ahsante.
 
JF Marikiwe sana kwa hili la ku edit.Maana kazi ingekuwepo hapa.Pst mie zingekuwa za ubishi wa kukosoa.

Mkuu watakuja,ila kuwa makini sana.Na hakikisha unaona kazi zao walizofanya.
Laasivyo utaibuka na madalali wa mafundi.
Hii Ndio DSM
 
Ahsante kwa ushauri Mkuu
 
Mkuu wasiliana nami kwa no 0713966921 ninafanya shughuli hizo ntakuonesha portfolio yangu. Karibu
 
Mkuu wasiliana nami kwa no 0713966921 ninafanya shughuli hizo ntakuonesha portfolio yangu. Karibu

Ahsante,
Kwani portofolio si vizuri uiweke hapa ili utangaze pia biashara yako
 
Hapo sipati picha Pms zilivyojaa huko kibao.
Maana hili tender sio la kitoto.
Watazuka mafundi na madalali wa mafundi humohumo.
Maana mafundi wengi humu JF hawamo,sasa mtu anatoa tender humu anamtafuta fundi kisha anakula percent,sio mbaya lakini awe fundi wa kweli na uhakika.
 
Kweli we mjanja,maana unaruka vihunzi tu,hahaha.
Haya sie yetu macho tu hapa

Mkuu ninaitaji kweli ila napenda uwazi mwenye uwezo atajitokeza tuu na kutoa details zake hapa na sio mimi tuu na wengine watamwitaji
 
Hapo sipati picha Pms zilivyojaa huko kibao.
Maana hili tender sio la kitoto.
Watazuka mafundi na madalali wa mafundi humohumo.
Maana mafundi wengi humu JF hawamo,sasa mtu anatoa tender humu anamtafuta fundi kisha anakula percent,sio mbaya lakini awe fundi wa kweli na uhakika.

Kweli mkuu mwenye vigezo hua afichi

Kweli
 
fundi rangi ninae anafanya kazi nyingi sana na nzuri nipigie nikuunganishe nae. my no 0753505115.
 
fundi rangi ninae anafanya kazi nyingi sana na nzuri nipigie nikuunganishe nae. my no 0753505115.

aje mwenyewe na aiweke portifolio yake hapa... sio kuituma kwenye pm
mimi pia namhitaji fundi mkali wa finishing. mwenye thread alijibu vema kuwa ni kwa faida ya wengi. hakuna haja ya kujaza server ya jf kuanzisha uzi mpya usio na ulazima.

JAMANI MAFUNDI HALISI MPO WAPI?
 
Na mwenye kuhitaji fundi umeme tuwasiliane 0718-302132
 
ninae fundi ila kwa sasa yuko kigoma nasikia kaenda kutafuta kazi ya kuwa dalali wa dagaa wa kigoma na akipata mtaji ana mpango wa kujenga mtumbwi kisha ajifunze uvuvi kisha awalete dar nitakutumia namba zake akija dar.
 
Hivi ni kweli hakuna mafundi wazuri wa finishing waliofanya kazi zinazoweza kuonekana waweke porttifolio zao jamani? Zinatolewa namba za madalali tuu humu!
 
Ninaweza kupata mawasiliano ya mafundi wa finishing ya nyumba Kama ifuatavyo :-
1. Gypsum designer
2. Paint designer/skimming
3. Tiles
4. Garden designer
5. House decorater

Ahsante.
Garden designer nipo hapa,kwa maelezo zaidi namba zangu zipo kwenye kila post yangu
 
Fundi Rangi na gypsum skiming nipeni mimi mwanachama wa jfm, huo ndio undugu wa kufaana, nipe namba ya whatsapp nikutumie kazi zangu na video pia kwa pdf zenye ubora ili kama kuna sehemu penye makosa basi ujiridhishe mwenyewe au unipe kazi kwa kuniamini ,
asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom