Asante sana.
Ni hp compaq 2510p. Hawa wanayo utility ya kupima afya ya betri na baada ya kuipima ilisema betri inahitaji kubadilishwa. Nimenunua betri nyingine tayari lakini baada ya kuifunga laptop ikawa ina leta ujumbe kuwa batrii haiwi recognized, hata nikirudisha ya kwake ya mwanzo nayo kwa sasa haiwi recognized. Kuitumia mapak iwe kwenye umeme.
Naamini naweza kupata mtaalamu wa kunisaidia kutatua tatizo langu.