Natafuta Fundi wa kubandika Wall Paper

Natafuta Fundi wa kubandika Wall Paper

mpitanjia2005

Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
40
Reaction score
5
Wasalamu,
Natafuta fundi wa kubandika Wall Paper kwenye nyumba, yoyote anayejua au anayemfahamu fundi naomba aniPM...

Shukrani....
 
Same shops wanauza wall paper wana mafundi.
 
Wasalamu,
Natafuta fundi wa kubandika Wall Paper kwenye nyumba, yoyote anayejua au anayemfahamu fundi naomba aniPM...

Shukrani....

Hakuna ufundi kwenye wallpaper ndugu yangu, kama ulishadesign zitakaaje ndani, umeshachagua rangi na patterns, umeshanunua wallpaper zako na 'skating' za chini we piga mwenyewe kazi, pata pima maji ya elfu10, rula ndefu, kiwembe cha kukatia, ki "roller" cha kukandamiza joints and you are all set! Weekend moja nyumbani kwako inatosha sana kufanya hiyo kazi. Au ni jengo jipya kubwa mkuu nikuforwardie kijana?
 
Wasalamu,
Natafuta fundi wa kubandika Wall Paper kwenye nyumba, yoyote anayejua au anayemfahamu fundi naomba aniPM...

Shukrani....

ushapata fundi mkuu,kuna kijana yupo vizuri namfahamu kama utataka contact zake..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom