Natafuta fundi wa komputer

Olympus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
2,818
Reaction score
689
Wapendwa natafuta fundi pc ntakayempa tenda ya kufanya installation za pc katika ofisi moja huku Sinza pia katika kuestablish LAN connection ..Kwa fundi yeyote mwenye ujuzi na experience hiyo anicheki PM.....Wahi sasa kabla tenda ajapata mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…