O omereo Member Joined Dec 29, 2018 Posts 54 Reaction score 80 Jun 26, 2019 #1 tv yangu ina mstari wa kutoka juu mpaka chini.nipo temeke. karibu unitengenezee
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 6,048 Reaction score 8,826 Jun 27, 2019 #2 mkuu kwaupande wa hizo tv nakushauri jaribu kwenda kwa wale dealer wasony wanaweza kukuunganisha na mafundi wao maana sony ni kitu kingine
mkuu kwaupande wa hizo tv nakushauri jaribu kwenda kwa wale dealer wasony wanaweza kukuunganisha na mafundi wao maana sony ni kitu kingine
O omereo Member Joined Dec 29, 2018 Posts 54 Reaction score 80 Jun 28, 2019 Thread starter #3 Uchira 1 said: mkuu kwaupande wa hizo tv nakushauri jaribu kwenda kwa wale dealer wasony wanaweza kukuunganisha na mafundi wao maana sony ni kitu kingine Click to expand... asante kwa ushauri mkuu wanapatikana maeneo gani kwa hapa dar?
Uchira 1 said: mkuu kwaupande wa hizo tv nakushauri jaribu kwenda kwa wale dealer wasony wanaweza kukuunganisha na mafundi wao maana sony ni kitu kingine Click to expand... asante kwa ushauri mkuu wanapatikana maeneo gani kwa hapa dar?
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 6,048 Reaction score 8,826 Jun 28, 2019 #4 omereo said: asante kwa ushauri mkuu wanapatikana maeneo gani kwa hapa dar? Click to expand... sony sifahamu walipo ila natumai watakwepo
omereo said: asante kwa ushauri mkuu wanapatikana maeneo gani kwa hapa dar? Click to expand... sony sifahamu walipo ila natumai watakwepo