Habari za sasa hivi wadau naombeni msaada kwa yeyote anayemjua fundi anayeweza kufunga dish naombeni msaada wa mawasiliano nimeuziwa na mtu dish la DSTV nimechoka kuangalia mpira kwenye bar nataka niisogeze hii huduma kwangu!!

Mrs Sili you are very sill..y! Nakupa siku mbili tu baada ya tarehe ya kuweka hili tangazo lako uweke mkoa uliopo. Vinginevyo ntakupa namba ya simu ya mshikaji mmoja anweza hii kazi lakini anafanya shughuli zake KATAVI huko kwa Pinda