Natafuta fundi mzuri wa viatu

Natafuta fundi mzuri wa viatu

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,016
Habari zenu wakuu?
Natafuta fundi mzuri anayetengeneza viatu vya kiume original vya ngozi.
Kwa mwenye contacts zake tuwasiliane kwa pm tafadhali.
Mimi nipo dar.
 
Habari zenu wakuu?
Natafuta fundi mzuri anayetengeneza viatu vya kiume original vya ngozi.
Kwa mwenye contacts zake tuwasiliane kwa pm tafadhali.
Mimi nipo dar.
Wapare kibao mtaani huwaoni?
afu unataka ngozi original, au kiatu original. Na original una maanisha nn?
 
Wapare kibao mtaani huwaoni?
afu unataka ngozi original, au kiatu original. Na original una maanisha nn?
Nyinyi ndio mheshimiwa Ben aliwaita Malofa,
Ubora wa kiatu ni uhalisi wa ngozi mpaka soli.
 
viatu vya kufunika au vya kimasai vya ngozi nicheki kwa hii no 0659865639 kama hivyo
WP_20160911_004.jpg
WP_20160911_004.jpg
nicheki kwa hi namba 0659865639
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom