Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,109
- 4,604
Hello watanzania wenzangu..!!
Nimekuja hapa kutaka kupata fundi computer kwa maeneo ya dar..okay nina DELL INSPIRON N4010 sasa ina tazizo kwenye cover linaloshikilia DISPLAY hasa kwenye maungio kwa chini upande wa kulia nati zimeachia na sehemu zinazoshikilia nati kupasuka na kulika kwahiyo nahitaji fundi atakae weza kubadilisha kava yote inayoshikilia display.
nimeattach picha ya dell inspiron n4010 na nimeonesha sehemu husika.kama fundi yupo please ani PM au atoe namba yake na bei itagharimu kiasi gani.maana hii laptop naipenda sana kwa wenye nazo nadhan watakua mashaidi iko portable na ina premium sound..!! sitaki kuitupa
nashukuruni..!!!