Hi,wanajamii.Kijana nimemaliza chuo nimetafuta ajira nimekosa so nimeamua kujiajiri na kimtaji kidogo.Naomba mwenye maelezo ya fremu maeneo ya sinza,mwenge au magomeni tuwasiliane 0715/0755 200221 bajeti yangu ni elfu sabini kwa mwezi.Mungu awabariki..!