Ghost JF-Expert Member Joined Apr 20, 2010 Posts 428 Reaction score 53 Jun 6, 2011 #1 Wanajamvi naombeni msaada....natafuta fremu Arusha maeneo ya Sanawari, Sakina, Kaloleni au sehemu yeyote ambao nitaona inanifa na iwe karibu na barabara... Kuna kamradi nataka kuanzisha. Natanguliza shukrani
Wanajamvi naombeni msaada....natafuta fremu Arusha maeneo ya Sanawari, Sakina, Kaloleni au sehemu yeyote ambao nitaona inanifa na iwe karibu na barabara... Kuna kamradi nataka kuanzisha. Natanguliza shukrani