NATAFUTA FREM YA BIASHARA

NATAFUTA FREM YA BIASHARA

mkwawa complex

Senior Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
183
Reaction score
150
Natafuta Frem ya biashara Eneo la (1)Mwenge kwa kuuzia bidhaa mchanganyiko za matumizi ya nyumbani(bidhaa za vyakula).Liwe ule mtaa ambao uko busy"kuanzia ilipo AZANIA BANK KUJA HADI ILIPOKUWA AZAM".FREM IWE IME-FACE BARABARA YANAKOPITA DALADALA ZA MAKUMBUSHO-GEREZANI KUPITIA MABIBO.
(2)PIA ENEO LA TGETA KWA NDEVU(STAND).IWE ILE SEHEMU ILIYO BUSY,stand ya daladala unapotaka kuelekea mjini.Pia hiyo fremu iface barabara kuu((hasa pale penye frame za mabucha mengi).KUHUSU BEI,ni Maelewano.
CONTACTS:0682-770 346
 
Back
Top Bottom