M mum ake New Member Joined Apr 20, 2018 Posts 4 Reaction score 0 Apr 21, 2018 #1 Poleni na majukumu. Wadau nahitaji fremu ya biashara maeneo ya mwenge na makumbusho stendi, au mitaa iliyochangamka yenye mzunguko wa watu sana kama shule, makanisa,hospitali n.k Aliye na channel hiyo anisaidie tafadhariii
Poleni na majukumu. Wadau nahitaji fremu ya biashara maeneo ya mwenge na makumbusho stendi, au mitaa iliyochangamka yenye mzunguko wa watu sana kama shule, makanisa,hospitali n.k Aliye na channel hiyo anisaidie tafadhariii