Mkuu hongera kwa wazo la kutaka kuongeza chanzo cha kujitafutia kipato cha ziada.
Mimi kwa maeneo hayo uliyotaja sina. Ila kama uko flexible kuchukua hata iliyoko maeneo mengine kulingana na aina ya biashara unayotaka kufanya then unaweza kunistua. Ninazo maeneo ya Mbezi Kwamsuguri. Kila la kheri