"Jiji limenishinda kuhanjahanja bila issue ya msingi naeza kuwa kibaka, nna mpango wa kufungua kijiduka cha biashara kwa bidhaa mchanganyiko; kwa yeyote mwenye kujua center nzuri ya biashara na kama naweza kupata frame hapo basi okoa jahazi tafadhari