Habari wakuu,nahitaji frame nitakayo weza kuweka biashara ya nguo za kike na za watoto maeneo ya Kigamboni, Mbagala au Mbezi, kama una namba ya dalali pia unaweza kunisaidia.
Pia eneo lolote lenye location nzuri na bajeti isiyozidi 100k kwa mwezi naomba mawasiliano